Imewekwa: April 25th, 2024
Tarehe 25 Aprili ya kila mwaka ni siku ya Malaria duniani, wakati ambapo Shirika la Afya duniani (WHO) hutoa uelewa kwa jumla kuhusu juhudi za pamoja na kuiepusha dunia na malaria.
Nchini Tanzania,...
Imewekwa: April 22nd, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kupitia Idara ya Afya inatarajia kuendesha zoezi la utoaji wa chanjo ya HPV kwa wasichana zaidi ya elfu 30, chanjo ambayo itasaidia kumkinga msichana kupata ugonjwa ...
Imewekwa: April 18th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Dkt. Vincent Mashinji ameipongeza Taasisi ya World Changer Vision kwa namna inavyoigusa jamii ya Serengeti na Watanzania kwa ujumla hasa katika sekta ya elimu na afya.
...