Imewekwa: August 6th, 2025
Semina ya siku tatu kwa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata Jimbo la Serengeti imehitimishwa rasmi leo Agosti 6,2025 katika Ukumbi wa Kituo cha Walimu (TRC) Wilayani Serengeti.
Akihitimi...
Imewekwa: July 10th, 2025
Leo Julai 10, 2025 Mamlaka ya mji mdogo Serengeti imezindua baraza lake jipya la wajumbe tangu kukamilika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Mkutano huu wa uzinduzi umefanyika kati...
Imewekwa: July 9th, 2025
Katika juhudi za kuimarisha sekta ya elimu nchini, Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kupitia Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) imeendesha mafunzo elekezi kwa walimu wapya 89 wa shule za msingi na ...