Imewekwa: January 28th, 2021
Kikao cha Kamati ya Maji kinandelea ndani ya Ukumbi wa Halmashauri ambapo wajumbe mbalimbali na wataalam wamehudhulia Kikao hicho ambacho ni muendelezo wa vikao vya kamati vilivyoanza leo 28/01/2021
...
Imewekwa: January 28th, 2021
Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi ,Uchumi na Mazingira Mheshimiwa Henry Nyamete ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kenyamonta amefungua Kikao cha Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira 28/01/2021...
Imewekwa: January 28th, 2021
Ndugu Victor Rutonesha Afisa Mazingira Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti akichangia hoja ndani ya Kikao cha Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira ambapo alizungumzia juu ya makusanyo ya Mapato ...