Wananchi wa Kata ya Kebancha wakishirikiana na viongozi wao Afisa Mtendaji wa Kata Ndugu Joel Mwita na Afisa Elimu Kata Ndugu Adam Nyakimori wamekamilisha ujenzi wa Sekondari ya Kebancha amabyo itafunguliwa Mwisho wa Mwezi wa huu 28/02/2021.
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kupitia Mkurugenzi Mtendaji Mhandisi Juma Hamsini amethibitisha kuwa tayari wamepeleka Mabati 240 Mbao 360 pamoja na Mifuko ya Saruji 150 kuhakikisha shule inakamilika kwa hatua za mwanzo na kuifungu.
Imetolewa
Afisa Habari- Mahusiano
Emmanuel Isyaga Mwita
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti