Imewekwa: April 20th, 2018
Aprili 19, 2018 wakazi wa Kijiji cha Ring’wani wanaanza kupata nuru kuona zahanati waliyoanza kujenga ikiwa mbioni kupata ufadhili wa ujenzi kutoka ubalozi wa Japan.
Licha ya kuwa na miaka 31 tangu...
Imewekwa: February 13th, 2018
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Raphael Joseph Nyanda, amewakumbusha Maafisa Habari na Maafisa wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) nchini kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia weledi, m...
Imewekwa: February 13th, 2018
Na Simeon Nashon Waryuba.
Ni mdudu ambaye kwa kiingereza hujulikana kama Fall Armyworm au kwa jina la kitaalamu “Spodoptera frugipedra” asili yake ni Bara la America. Mdudu huyu alionekana kwa mara...