Ndugu Victor Rutonesha Afisa Mazingira Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti akichangia hoja ndani ya Kikao cha Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira ambapo alizungumzia juu ya makusanyo ya Mapato ndani ya Halmashauri ikiwa ni pamoja na mikakati ya ukusanyaji mapato kwa kiwango cha juu kwa Mwaka huu wa Fedha 2021/2022 ndani ya Bajeti Mpya.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti