Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi ,Uchumi na Mazingira Mheshimiwa Henry Nyamete ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kenyamonta amefungua Kikao cha Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira 28/01/2021 ndani ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Kikao ambacho kimehudhuliwa na wataalam / watumishi katika baadhi ya Idara pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti