Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhe.Samson R. Wambura ambaye pia ni Diwani wa kata ya Kisangura ,imefanya Ziara ya Kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule shikizi ya Naigoti 31.10.2022,Mradi huo unatoka na fedha za Covid 19 No.5441 tcrp Tsh. 40,000,000/= Mradi huu ulianza kujengwa 22/11/2021 na kukamilika
14/01/2022 ambapo vyumba viwili vya madarasa vimekamilika ,madawati wa kila chumba ambapo michango ya wananchi kwa kutoa viashiria thamani yake ni 6,015,000/= Vifaa vyenye thamani ya tsh 3,129,216/= vimebaki.
Kamati imeipongeza shule kwa usimamizi mzuri wa miradi na ushirikishwaji wa wananchi.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti