Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Ndg. Afraha N. Hassan, ameongoza watumishi wa Halmashauri hiyo kufanya usafi wa mazingira katika eneo la soko la uwanja wa mbuzi wilayani Serengeti.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti akifanya usafi katika uwanja wa soko la uwanja wa mbuzi wilayani Serengeti.
Ili kidumisha usafi wa Mji wa Serengeti, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji kupitia ofisi ya Mthibiti taka wa wilaya imetenga kila jumamaosi ya Mwisho wa mwezi kuwa siku ya kufanya usafi wa mazingira ili kuhakikisha mji wa Serengeti unakuwa safi muda wote.
Picha katika matukio mbalimbali wakati mkurugenzi na watumishi wa Halmashauri wakifanya usafi.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti