Friday 26th, April 2024
@Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti linatarajia kujadili hoja za mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/17. Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti