Mradi huu ni matokeo ya mahusiano chanya baina ya nchi ya Tanzania na Ujerumani ambapo kupitia Benki ya wananchi wa Ujerumani (KFW) pamoja na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Wilaya ya Serengeti imefanikiwa kupata mradi huu. Vijiji 33 vinatarajiwa kuandaa mpango wa matuizi bora ya ardhi wa miaka 10.
Mkazi wa kijiji cha Nyamisingisi Bi. Bhoke Evarist ambae ni Mjumbe wa Kamati ya matumizi bora ya ardhi ya Kijiji cha Nyamisingisi akifafanua jambo kwa wananchi walioudhuria Mkutano wa hadhara kupitisha mpango huo. Source: Maktaba ya Halmashauri ya Serengeti
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti