Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee
atafanya ziara ya Siku 2 Wilayani Serengeti Kuanzia tarehe 22/2 Hadi 23/02/2023
ambapo tarehe 22/02/2023 atafanya ukaguzi wa Mradi wa Maji katika Kijiji cha Maburi,ukaguzi
wa kituo cha afya Kenyana ,ukaguzi wa Ujenzi wa barabara ya Lami Serengeti Mjini,Ukaguzi wa ujenzi shule ya Sekondari Morotonga
Na Hatimaye Mkutano wa Hadhara katika viwanja vya Right to play saa 9 alasiri.
Aidha Tarehe 23/02/2023 Mkuu wa Mkoa ataasaini kitabu ,kukagua gwaride na kupokea taarifa ofisi za Fortikoma na Hatimaye atahitimisha ziara yake kwa kutembelea Pori la akiba la ikorongo.
Wananchi Mnakaribishwa kujitokeza katika miradi na Mkutano wa Hadhara.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti