Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni amewasiri Wilayani Serengeti na kupokelewa na mwenyeji wake, Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Dkt. Vincent Mashinji.
Katika ziara yake wilayani Serengeti Mhe. Masauni ametembelea na kukagua gereza la Tabora B
ambapo amepongeza jitihada zinazofanywa na uongozi wa gereza hilo katika uzalishaji mali.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti