Watendaji wa kata wilayani Serengeti wamehimizwa kuhakikisha wanasimamia na kutekeleza kikamilifu mkataba wa lishe ili kuweza kuleta matokeo chanya katika afua za lishe wilayani hapa.
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Ndg.Kivuma H.Msangi akisisitiza jambo katika kikao cha Tathimini ya
utekelezaji wa afua lishe kilichoshirikisha watendaji wa Kata,katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti
Pamoja na Mambo mengine kikao hiki cha Tathimini ya utelezaji wa afua lishe kwa robo ya pili kimezitaka shule zote kuhakikisha zinapanda miti ya miparachichi ,kila mwanafunzi asome na mti wake ili kuwawezesha wanafunzi kupata matunda katika mlo wao.
Watendaji wa Kata wakisikiliza kwa makini maelekezo mbalimbali,katika kikao cha Tathimini ya utekelezaji wa afua
lishe kilichoshirikisha watendaji wa Kata,katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti