Kila ifikapo Februari 6 ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji ambapo katika Wilaya ya Serengeti Imani hii potofu imeendelea kuwatafuna wasichana na hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao.
Wasichana waliokimbia ukeketaji katika kituo cha nyumba salama Hope for girls and women in Tanzaniaa wanapaza sauti zao kuiomba serikali na Jamii kwa ujumla kuendelea kuongeza juhudi katika kupinga vitendo vyote vya kikatili ikiwemo ukeketaji.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti