• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

SHIRIKA LA GRUMETI FUND LATETA NA VIJANA WA KIUME MARA

Imewekwa: October 23rd, 2022


Shirika la  Grumeti Fund Kupitia Makongamano yake ya kuwawezesha vijana limewataka vijana wa  kiume  kujitambua na  kusimamia ndoto zao ipasavyo na kuacha tabia hatarishi  na kutumia teknolojia kwa faida pamoja na kuweza kuwatetea na kuwasimamia watoto wa kike ili na wao wa weweze kutimiza ndoto zao.

Akizungumza  wakati wa kongamano hilo Mkuu wa idara ya Maendeleo ya Jamii Frida Mollel, amesema ‘’Kwanini Tumeanza kuzungumza na wavulana wakati mwanzoni tulikuwa tunazungumza na wasichana? Sababu moja kubwa ni kwamba Grumeti Fund inajihusisha na  uhifadhi na maendeleo ya jamii,katika uhifadhi   mojawapo ya shughuli inayofanyika ni utoaji wa ufadhili wa Masomo,tukiamini kwamba baadae huwezi kuja kuwa jangili au kutegemea maliasili tu hivyo kupitia elimu unakuwa na wigo mpana wa kujiajiri’’


Akaongeza pia vijana wa kiume wana nafasi  kubwa ya kuwa chachu ya mabadiliko katika jamii hususa katika kupinga ukatili wa kinjisia na kuondoa  mmonyoko wa maadili,lakini pia wana nafasi ya kumtetea na kumsaidia mtoto wa kike ili kuleta usawa wa kinjisia ambao  utasaidia kuleta maendeleo  katika Jamii.


Mgeni Rasmi  katika Kongamano hilo Mwalimu wa Saikoloji  wa chuo kikuu cha Dar-Es-Salaam Dkt.Chris Mauki amewataka vijana wa kiume  kubadili fikra zao sambamba na kupinga mila na desturi ambazo ni kandamizi na Potofu lakini pia  Kuwa mstari wa mbele kumsaidia,Kumlinda na kumtetea  mtoto wa kike

‘’Inaminika kwamba ukimuwezesha mtoto wakike,ukimuendeleza mtoto wa kike unamtengeza mtu wa kuja kushindana na wewe,yani unaanda mshindani wako huo ni uongo Badala yake unamuanda msaidizi,unamuanda mtu wa kukushauri’’alisema Dkt.Mauki

Kwa upande wa wananfunzi waliohudhuria kongamano hilo wamelishukuru shirika la Grumeti Fund kwa kuendelea kuwa mstari wa mbele kuwasaidia vijana wakiume na wakike katika mkoa wa Mara

‘’Siku ya leo tumejifunza vitu Vingi , ikiwemo kuwa chachu ya mabadiliko  katika jamii pamoja na  kuwatunza na kuwalinda watoto wakike’’alisema Philipo Renatus Mwanafunzi kutoka shule ya sekondari Bunda

Makongamano ya watoto wa wakiume yalianza  mnamo mwaka 2021 na kuwafikia jumla wa wavulana 2316 katika wilaya za Bunda na Serengeti Mkoani Mara katika shule 10.Makongamano ya kuwawezesha watoto wa kike yalianza tangu  mwaka 2017,Watoto hawa wameweza kufikiwa kutoka   shule 19 za sekondari, ikiwa shule 12 za Serengeti na shule za 7 Bunda.

Kupitia makongamo haya yanayofanywa na Grumeti Fund jumla ya wasichana na wavulana  wa Sekondari waliofikiwa ni 10,898( ambapo wasichana waliohudhuria ni 8582 na wote walipewa taulo za kike za kufua zinazotumika  kwa muda wa Mwaka mmoja, na Jumla ya wavulana  waliofikiwa ni 2316 .

Shule ambazo zimefaidika na makongamano haya  kwa wilaya ya serengeti ni pamoja Shule ya Sekondari Nyichoka, Shule ya Sekondari Serengeti, Shule ya Sekondari Mugumu, Shule ya Sekondari,Manchira, Shule ya Sekondari Ikoma, Shule ya Sekondari Sedeco, Shule ya Sekondari Robanda , Shule ya Sekondari Makundusi, Shule ya Sekondari Natta, Shule ya Sekondari Nagusi, Shule ya Sekondari Rigicha,  na Shule ya Sekondari Issenye kwa upande wa Bunda ni  Shule ya Sekondari Chamriho, Shule ya Sekondari Hunyari, Shule ya Sekondari Sizaki, Shule ya Sekondari Kunzugu, Shule ya Sekondari Sazira, Shule ya Sekondari Bunda  na Shule ya Sekondari Ikizu.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI KWA WAENDESHA BVR NA WAANDISHI MSAIDIZI April 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU. March 07, 2025
  • TANGAZO LA KUTOA MAONI KUHUSU SHERIA NDOGO. February 24, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA January 02, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SIKU YA MALARIA WILAYANI SERENGETI

    April 25, 2025
  • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO WATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA.

    April 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SERENGETI LAPITISHA BILIONI 48.8 KAMA MPANGO WA BAJETI YA HALMASHAURI 2025/2026.

    March 04, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI WILAYANI SERENGETI LAPITISHA MPANGO WA BAJETI YA TARURA BILIONI 2.4

    March 03, 2025
  • Angalia zote

Video

AKINA MAMA SERENGETI WASEMA ASANTE MAMA SAMIA.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti