Shirika la Right to play katika hukakikisha uhamasishaji wa haki za mtoto na kupinga vitendo vya ukatili kwa watoto kupitia michezo, limefanya tamasha la michezo ili kuwaleta pamoja watoto wa shule za msingi wilayani Serengeti.
Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi mbalimbali waliojitokeza katika viwanja vya Sokoine Serengeti katika tamasha la michezo lililoandaliwa na Shirika la Right to Pray
Tamasha hilo lililojumuisha michezo ya mpira wa miguu kwa wasichana na wavulana, kukimbia kwenye magunia, kukimbimbiza kuku pamoja na mashindano ya usomaji
limefanyika katika viwanja vya Sokoine wilayani Serengeti kwa kuhusisha baadhi ya shule za msingi zinazopatikana ndani ya Wilaya hiyo
ambapo watoto wamepata furusa ya kushiriki michezo hiyo pamoja na kupata elimu juu ya haki zao,
huku wadau walioshiriki tamasha Hilo wakisisitiza malezi bora kwa wototo na kupinga ukatili kwa watoto hao.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti