Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Dkt. Vincent Mashinji leo Julai 20, 2023 ameongoza kikao cha tathmini ya Lishe ndani ya Wilaya ya Serengeti nakujadili mambo mbalimbali yahusuyo Lishe ndani ya wilaya.
Mbali na maagizo mengine Dkt. Mashinji amewataka Watendaji wa Kata kuhakikisha wanafunzi wote katika shule zilizopo ndani ya kata zao wanapata uji mashuleni ili kudumisha lishe bora ndani ya wilaya.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti