Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Ndg. Afraha N. Hassan akikabidhi pikipiki tano kwa maafisa kilimo na Mifugo zilizotolewa na Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ikiwa ni jitihada za Serikali katika kuwawezesha maafisa kilimo kuzungukia wakulima wakati wa uhamasishaji na usimamizi wa kilimo na ufugaji wenye tija.
Akikabidhi pikipiki hizo Mkurugenzi Mtendaji amewataka maafisa hao kutunza pikipiki hizo na kuzitumia kwa lengo lililokusudiwa na si vinginevyo.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti