Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe. Kemirembe Lwota, leo Januari 04, 2025 ameshiriki zoezi la usafi uliofanyika katika mji wa Serengeti kwa kushirikiana na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti pamoja na wananchi.
Akizungumza mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo Mhe. Kemirembe Lwota ametoa shukrani kwa wote waliojitokeza kushiriki zoezi hilo huku akiwataka kutosubili kishurutishwa bali iwe tabia kufanya usafi katika maeneo yao ili kuzuia magonjwa ya mlipuko.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti