Wednesday 22nd, January 2025
@Shule ya msingi Bwitengi
Benki ya NMB imekabidhi vifaa vya ujenzi kwa shule ya msingi bwitengi iliyopo wilayani Serengeti mkoa wa Mara.Vyenye thamani Zaidi ya tsh. Million nane.
Mkuu wa shule msingi Bwitengi Mwl.Mollel ameishukuru NMB kwa kuzingatia ombi lao kusaidiwa vifaa vya kukamilisha ujenzi wa madarasa mawili ili,ambayo kwa kukamilika kwake kutasaidia.
Meneja tawi la NMB Serengeti Ndugu Derick Mugisha amewashukuru wanajamii wa bwitengi kuiona benki ya NMB kama kimbilio katika kukuza miundombinu ya elimu na janja nyingine
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti