Shughuli za kiuchumi katika sekta hii zinahusisha vyanzo vifuatavyo vya mapato :-
Hifadhi ya taifa ya Serengeti
Hifadhi inazo aina mbalimbali za wanyama pori hii ni pamoja na Nyumbu : 1.5million Punda milia; 260,000 ; wengine ni Nyati , Twiga, Tembo, Topi, Swala, Simba, Duma, Fisi hii ni sehemu ya wanyama na aina zilizoko katika hifadhi .
Nyumbu wakivuka Mto Mara katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kuelekea Hifadhi ya Masai Mara iliyopo Kenya. (chanzo; picha kutoka mtandao wa google)
Hifadhi za Ikorongo na Grumeti :
Uwindaji maalum hufanyika wakati wa msimu wa uwindaji hii ni kwa miezi ya Julai na Desemba kwa kila mwaka..Halmashauri hupata 25% yatokanayo na uwindaji .
Tembo wakiwa katika Pori la Akiba la Ikorongo (chanzo; picha kutoka mtandao wa google)
Tembo katika Pori la Akiba la Grumeti (chanzo; picha kutoka mtandao wa google)
Hoteli za kitalii
hoteli za kitalii zinazopatikana katika Wilaya ni Seronera Wildlife Lodge; Lobo Wildlife Lodge; Serena Wildlife Lodge; Sasakwa Lodge; Sabora Lodge; pia tunazo kambi za kitali ambazo ni Grumeti, Sengo Safaris, Ndasiata, Moivaro, Swala, Zara Thompson Savana, Tanzania Adventure, Kleins & Downey na Four Season Lodge.
Hoteli ya kitalii Sasakwa iliyopo Wilaya ya Serengeti (chanzo; picha kutoka mtandao wa google)
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti