Saturday 5th, July 2025
@Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Barala la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti likiongozwa na Mwenyekiti Mheshimiwa Juma Porini Keya akiongozwa na Katibu wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini pamoja na madiwani (wajumbe) wanawaalika wanananchi wote kushiriki katika baraza hili maalum kujadili na kupitia rasimu ya mpango wa bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kwa mwaka wa fedha 2019/20 unaotarajiwa kuanza Julai mosi 2019.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti