Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akitoa maelezo kuhusu hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Serengeti.
Ziara ya Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mheshimiwa Juma Porini Keya katika kambi ya kitalii ya Serena iliyopo katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima ameridhishwa na hali ya ulinzi na usalama kwa wananchi huku akipongeza viongozi wa Wilaya ya Serengeti na Mkoa wa Mara kwa ujumla kwa juhudi wanazofanya kudhibiti vitendo vya ukatili wa kijinsia. Malima amesema hayo kwa waandishi wa habari alipokua anahitimisha ziara ya kujitambulisha katika Wilaya sita za Mkoa wa Mara katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti siku ya Jumatano ya tarehe 1 Novemba 2017.
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti