• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UKAMILISHAJI WA WODI YA WAZAZI HOSPITALI YA WILAYA KIBEYO

Imewekwa: October 31st, 2022



KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhe. Ayub Makuruma ambaye pia ni Diwani wa kata ya Busawe,ilifanya Ziara katika Hospitali ya Wilaya ya Serengeti kwaajili ya kutembelea na kukagua  Ukamilishaji wa Wodi ya Wazazi Kibeyo(Maternity block),Ambayo ilianza kujengwa mwezi desemba 2021 ikiwa ni muendelezo wa Ujenzi wa Hospitali.Mradi huu umegharimu kiasi cha Jumla ya Tsh.130,395,000/=

Jengo hili linasehemu Kuu tano ambazo ni sehemu ya Kulaza Wajawazito kabla ya Kujifungua(Antenatal),Sehemu ya kujifungulia (Labor Ward),Sehemu ya kufanyia Upasuaji (Theatre),Chumba cha watoto Njiti (Kangoro Room),Sehemu ya kulaza akina mama baada ya kujifungua (Postnatal).Kukamilika Kwa mradi utakuwa na uwezo wa Kulaza akina mama 40 kwa wakati Mmoja.

Mradi huu mpaka sasa umefikia hatua ya kufunga Lenta na kujenga kozi mbili za juu ili kuruhusu hatua ya kupaua kuendelea.

Akizungumza wakati wa Ukaguzi wa Mradi huo Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhe.Ayub Makuruma amemshukuru Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sami Suluhu Hassani kwa kutoa Fedha nyingi za miradi katika halmashauri ya Wilaya ya Serengeti pia amempongeza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Kibeyo kwa usimamizi mzuri wa mradi huo,aidha kamati imeutaka uongozi wa hospitali kusimamia Ujenzi na kuhakikisha una kamilika kwa wakati ili uweze kuwasaidia wananchi.

Awali Mganga Mkuu   Wilaya Dkt. Emilliana Donald akisoma taarifa ya ujenzi wa wodi kwa Kamati ya Uongozi na Mipango amesema katika Kukamilisha mradi huu wamepitia changamoto mbalimbali zikiwemo mfumo wa bei uliopelekea kupanda kwa gharama za vifaa vya Ujenzi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI KWA WAENDESHA BVR NA WAANDISHI MSAIDIZI April 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU. March 07, 2025
  • TANGAZO LA KUTOA MAONI KUHUSU SHERIA NDOGO. February 24, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA January 02, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SIKU YA MALARIA WILAYANI SERENGETI

    April 25, 2025
  • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO WATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA.

    April 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SERENGETI LAPITISHA BILIONI 48.8 KAMA MPANGO WA BAJETI YA HALMASHAURI 2025/2026.

    March 04, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI WILAYANI SERENGETI LAPITISHA MPANGO WA BAJETI YA TARURA BILIONI 2.4

    March 03, 2025
  • Angalia zote

Video

AKINA MAMA SERENGETI WASEMA ASANTE MAMA SAMIA.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti