• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WANUFAIKA WA MPANGO WA TASAF SERENGETI WAPONGEZA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO

Imewekwa: September 19th, 2022



Na. Mwihava GF-Serengeti

Wanufaika wa TASAF Wilayani Serengeti wameipongeza Serikali kwa kuanzisha mfumo Mpya wa Malipo kwa njia ya Mtandao,ambapo wanufaika wanapokea ruzuku zao kwa kupitia mitandao mbalimbali ya simu ambazo wamejisajili kupitia namba za NIDA. Mfumo huu umesaidia kuongeza usalama wa pesa,pamoja na utunzaji na uwekaji wa akiba kwa wanufaika wanaopokea Ruzuku hizo.

Akizungumza na wanufaika wa Mpango wa TASAF wilayani Serengeti wakati wa zoezi la uhawilishaji fedha,Mratibu wa TASAF Wilayani Serengeti amewasisitiza wanufaika wa Ruzuku hizo kuendelea kuhakikisha wanatumia Ruzuku hizo kama njia ya kujikomboa wao wenyewe kiuchumi,na kuhakikisha wanawekeza katika miradi yenye tija kulingana na mazingira yao.





Aidha,kuhakikisha watoto wao wanaenda shule na kupata huduma katika vituo vya afya ili waweze kupata ruzuku hizo za masharti. Pia aliwasisitiza walengwa wote kuwahi kwenye vituo vya malipo ili kushiriki kikamilifu warsha za jamii ambazo zinawajengea uwezo wa kuibua na kuinua vipato vyao.




Nao wanufaika wa TASAF wameendelea kuishukuru serikali kwa kuongeza ubunifu katika kuhakikisha kaya zao masikini zinaweza kujisamamia zenyewe kwa kuboresha na kuongeza mifumo mipya.
‘’Kuchukua Ruzuku kwa kwa mtandao mimi naona ni afadhali,kuliko njia ya zamani kwa sababu hii njia hupati usumbufu,na inafanya kutumia Ruzuku hiyo kwa malengo’’alisema Bw.Alex chacha mnufaika wa TASAF


Lakini pia Walengwa wametakiwa pia kujitokeza kwa wingi wanapohitajika ili kuweza kupata maelekezo mbalimbali kutoka kwa viongozi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI KWA WAENDESHA BVR NA WAANDISHI MSAIDIZI April 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU. March 07, 2025
  • TANGAZO LA KUTOA MAONI KUHUSU SHERIA NDOGO. February 24, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA January 02, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SIKU YA MALARIA WILAYANI SERENGETI

    April 25, 2025
  • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO WATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA.

    April 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SERENGETI LAPITISHA BILIONI 48.8 KAMA MPANGO WA BAJETI YA HALMASHAURI 2025/2026.

    March 04, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI WILAYANI SERENGETI LAPITISHA MPANGO WA BAJETI YA TARURA BILIONI 2.4

    March 03, 2025
  • Angalia zote

Video

AKINA MAMA SERENGETI WASEMA ASANTE MAMA SAMIA.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti