• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WANUFAIKA WA MiKOPO YA ASILIMIA 10 WAHASWA KUREJESHA MIKOPO KWA WAKATI

Imewekwa: August 24th, 2022


Mkuu wa wilaya a Serengeti Dkt.vincent Mashinji amewataka wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri ya wilaya ya Serengeti kwa ajili ya kuwawezesha kujikuza kiuchumi kuhakikisha wanairejesha mikopo hiyo kwa wakati ili iweze kuwasaidia wananchi wengine lakini pia kujiongezea kiwango cha ukopeshwaji,ambapo katika robo hii  wilaya imetoa kiasi cha Tsh.152,4600,000/=

Akizungumza na Wanufaika wa mikopo hiyo ambao ni wanawake,vijana na walemavu baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa utoaji wa  mikopo kutoka idara ya maendeleo ya jamii amewasisitiza makundi yote kurejsha mikopo hiyo kwa wakati.

‘’Unapopewa mkopo lazima urejeshe,lakini sasa kumekuwa na tatizo kwenye halmashauri yetu watu wanapewa mikopo na wengine hawarejeshi  tatizo hili ni kubwa kwa vijana’’alisema Dkt.Mashinji

Katika hatua nyingine amewapongeza wanawake kwa  kuwa mstari wa mbele kwa kurejesha mikopo ya kwa wakati na kuwataka makundi mengine inayonufaika na mikopo hiyo kurejesha mikopo hiyo kwa wakati,kwa uwa imekuwa ni sehemu ya ajira na hivyo kupunguza uhalifu

Aidha amempongeza Mwenyekiti wa halmshauri ya wilaya ya Serengeti Mhe.Ayub Makuruma kwa usimamizi mzuri wa mikopo hiyo ya asilimia 10 na utaratibu mzuri wa utolewaji wa mikopo hiyo.

Nae,Mbunge wa jimbo la Serengeti Dkt.Amsabi mrimi Amempongeza Mhe rais samia Suluhu hassani kwa kazi kubwa anayoifanya kwa ajili ya  kuleta maendeleo kwenye jamii,lakini pia amevipongeza vikundi vyote ambavyo vinarejesha  mikopo hii kwa wakati ,amewataka wanavikundi hao kujikita Zaidi kwenye kufanya kazi  na kujitoa Zaidi kwenye shughuli za maendeleo  kutoka na mikopo hii.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti ambae pia  ni diwani wa kata ya busawe Mhe.Ayub Makuruma amewataka wanufaika wa mikopo hii isiyo riba kuitumia vizuri ili kuinua maisha yao ‘’watu wamekuwa wakiogopa kuichukua mikopo hii ,mikopo ndiyo salama na ya uhakika ‘’alisema Mhe makuruma aliongezea kwa kusema kuwa mikopo hiyo  ni kimbilio sahihi na hakuna haja ya kuhofu amewahakikishia wanavikundi kuwa pesa za mikopo zipo hivyo vikundi viendele kujitokeza ili kupata mikopo hiyo na kutumia kujikuza kuichumi na sio kuitumia kwa njia tofauti.

Kabla ya Kupatiwa mikopo hiyo wanufaika kutoka kwenye vikundi mbalimbali walipatiwa mafunzo ili waweze kuitumia mikopo hiyo ikawe na tija

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI KWA WAENDESHA BVR NA WAANDISHI MSAIDIZI April 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU. March 07, 2025
  • TANGAZO LA KUTOA MAONI KUHUSU SHERIA NDOGO. February 24, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA January 02, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SIKU YA MALARIA WILAYANI SERENGETI

    April 25, 2025
  • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO WATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA.

    April 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SERENGETI LAPITISHA BILIONI 48.8 KAMA MPANGO WA BAJETI YA HALMASHAURI 2025/2026.

    March 04, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI WILAYANI SERENGETI LAPITISHA MPANGO WA BAJETI YA TARURA BILIONI 2.4

    March 03, 2025
  • Angalia zote

Video

AKINA MAMA SERENGETI WASEMA ASANTE MAMA SAMIA.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti