Ikiwa ni Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi wa Mwaka 2022 ya Tarehe 31/12/2022, baadhi ya Wananchi wametii wito wa Kufanya Usafi wa mazingira katika
Kijijini cha Chachante- Borenga.
Katika Picha ni baadhi ya vijana wakiendelea na zoezi la usafi
#Serengeti Safi ya Mazingira Safi Kuelekea 2023 inawezekana. #kaziinandele
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti