UPANDAJI MITI.
UVCCM kata ya Matare wakipanda Miti Katika zahanati ya kata ya Matare kitongoji cha manyunyi.
ambapo miche 370 imepandwa na wameahidi kuisimamia na kuitunza ikue.
Hongereni Kwa kuwa Mfano wa kuigwa kutunza Mazingira.
Kazi inaendela na kukamilika
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti