• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MOROTONGA

Imewekwa: May 20th, 2022

Kamati ya Fedha,mipango na Uongozi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti ambae pia ni Diwani wa Kata ya Busawe Mhe.Ayub M.Makuruma wametembelea na kukagua maendeleo ya  ujenzi wa Shule ya sekondari Morotonga .

Shule ya sekondari Morotonga inajengwa kwa fedha kutoka serikali  Kuu kupitia  mpango wa kuboresha Maendeleo ya shule za sekondari hapa Nchini SEQUIP.

Shule hiii inajengwa Kata ya morotonga ,Kijiji cha Romakendo,Kupitia mpango huu serikali ilitoa kiasi cha Tsh.470,000,0000/=Kwa ajiri ya ujenzi wa shule hiyo Ambapo fedha hiyo inatarajiwa kujenga Vyumba 08 vya madarasa,Maabara 03 za sayansi,chumba cha ICT , Jengo la utawala,Maktaba,Matundu 20 ya vyoo(10 wasichana na 10 wavulana ),Kujenga miundombinu ya kuvunia Maji lita elfu 10,Kununua Tank la Maji la lita 10 na kujenga miundombinu ya kunawia maji.

Mradi huu ulianza kutekelezwa mnao Machi 1,2022.kwa kupitia Mradi wa maendeleo Gereza Mugumu  Tabora B ambapo atajenga mpaka hatua ya finishing.

Mhe.Makuruma amepongeza kasi iliyopo katika ujenzi huo na kusisitiza wananchi kujitokeza kushiriki katika ujenzi huo na kulinda mali zilizopo eneo la ujenzi,aidha ameishukuru serikali Kuu inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassani kwa kuendelea kuimbuka wilaya ya Serengeti kwa kuleta miradi mbalimbali.

Ujenzi huu unategemewa kukamilika Mnamo 27 Juni 2022.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 04, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA-NDDH July 06, 2022
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 21, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI -WMA May 14, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MOROTONGA

    May 20, 2022
  • SERIKALI NA WADAU WAUNGANA KUTATUA CHANGAMOTO ZA ATHARI ZA MVUA SERENGETI

    May 15, 2022
  • MVUA YAATHIRI MIUNDOMBINU NA KUJERUHI NATTA

    May 11, 2022
  • UZINDUZI WA OFISI ZA UHAMIAJIA SERENGETI KUSAIDIA WAKAZI NA WAGENI

    May 07, 2022
  • Angalia zote

Video

AFISA MIFUGO SERENGETI APONGEZA UGAWAJI WA MBUZI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • RUWASA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti