SERENGETI YAPOKEA TSH. 1,160,000,000/= KWA AJILI YA UJENZI WA MADARASA 58
Halmashauri ya wilaya ya Serengeti imepokea kiasi cha Tsh.1,160,000,000/= kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa 58,Mahsusi kwa Wanafunzi wa kidato cha kwanza watakaoanza masomo 2023,Jumla ya Shule 21 zimepokea fedha hizo.
Uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti unatoa shukrani za kwa Mhe.Rais Samia Suluhu Hassani kwa Fedha hizi za ujenzi wa madarasa.Tutaenda kuzisimamia kwa weledi,nidhamu na kuhakikisha miradi hii inakamilika kwa wakati.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti