Katika Maadhimisho ya wiki ya afya ya kinywa na meno duniani ,Katika Wilaya ya Serengeti wiki hiyo imeadhimishwa kwa kuwafanyia uchunguzi wa kinywa na Meno na kutoa elimu ya kinywa na meno kwa wanafunzi Takribani 2000 Katika Shule za msingi Morotonga,Mapinduzi na Matare.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti