• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

RC MARA awataka wafanyakazi kutoa huduma bora.

Imewekwa: May 1st, 2017


Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk. Charles Mlingwa amewataka wafanyakazi kutoa huduma bora kwa wananchi kama yalivyo makusudi ya serikali ya awamu ya tano (Hapa Kazi Tuu)

Dk. Mlingwa amesema hayo katika maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kimkoa katika Wilaya ya Serengeti. Akikabidhi na kutunuku vyeti kwa wafanyakazi bora; Mkuu wa Mkoa amesema “Wafanyakazi wasiwe mbele tuu kupaza sauti kudai haki, pia wasimamie utendaji wao ambao unalalamikiwa na wananchi.

Aidha licha ya mvua kubwa kunyesha siku hiyo, haikuzuia kufana kwa sherehe hizo ambapo Mkuu huyo wa Mkoa wa Mara ameipongeza Wilaya ya Serengeti kwa maandalizi mazuri ya Sherehe hizo zilizoambatana na burudani, michezo pamoja na mabanda ya maonyesho ya shughuli zifanywazo na taasisi mbalimbali za ndani na nje ya Wilaya Serengeti.

Maandamano ya wafanyakazi kutoka taasisi mbalimbali kuingia katika viwanja vya sokoine katika mji wa Mugumu Serengeti ambapo maadhimisho ya Mei Mosi Mkoa wa Mara yalipofanyika.

Maandamano ya wafanyakazi kutoka taasisi mbalimbali kuingia katika viwanja vya sokoine katika mji wa Mugumu Serengeti ambapo maadhimisho ya Mei Mosi Mkoa wa Mara yalipofanyika.

Mfanyakazi Hodari kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Bw. Jichabu Mlelema akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk. Charles Mlingwa

Kikundi cha muziki wa asili kikitoa burudani kwa hadhara iliyojitokeza katika sherehe hizo za Mei Mosi

Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk. Charles Mlingwa akiwa katika banda la mjasiliamali wa mafuta ya alizeti Bi. Fatma Shams.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI KWA WAENDESHA BVR NA WAANDISHI MSAIDIZI April 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU. March 07, 2025
  • TANGAZO LA KUTOA MAONI KUHUSU SHERIA NDOGO. February 24, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA January 02, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SIKU YA MALARIA WILAYANI SERENGETI

    April 25, 2025
  • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO WATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA.

    April 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SERENGETI LAPITISHA BILIONI 48.8 KAMA MPANGO WA BAJETI YA HALMASHAURI 2025/2026.

    March 04, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI WILAYANI SERENGETI LAPITISHA MPANGO WA BAJETI YA TARURA BILIONI 2.4

    March 03, 2025
  • Angalia zote

Video

AKINA MAMA SERENGETI WASEMA ASANTE MAMA SAMIA.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti