Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu (MCC) Ndg.Fadhli Rajabu Maganya amefanya ziara wilayani serenget Leo tarehe 24 machi 2023,pamoja na mambo mengine ametembelea na kukagua miradi mbalimbali inayoendelea wilayani serengeti.Pamoja na kukitembelea kituo cha nyumba salama Mugumu.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti