• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

MWANRI AWAPIGA MSASA WAKULIMA WA PAMBA SERENGETI

Imewekwa: August 4th, 2023

Balozi wa Pamba nchini Mhe. Aggrey Mwanri amewataka wakulima katika Wilaya ya Serengeti kuacha tabia ya kuchanganya pamba na mazao mengine mashambani


ameyasema hayo wakati akiongea na wananchi wa Serengeti katika kata mbalimbali alizotembelea wakati wa uhamashiji wa kilimo bora cha pamba wilayani Serengeti.


Mwanri amesema kuchanganya pamba na mazao mengine ni moja ya sababu zinazopelekea kupatikana kwa mavuno hafifu wilayani Serengeti.


"tatizo kubwa lililopo hapa Serengeti ni kuchanganya maindi,mtama na pamba katika shamba moja jambo linalileta changamoto wakati wa unyunyiziaji wa dawa kwani kila mazao hushambuliwa na wadudu tofauti" alisema Mwanri


Vilevile Mhe. Aggrey Mwanri amewataka maafisa ughani katika kata zote wilayani Serengeti kuhakikisha wanafanyia kazi maagizo yote yalinayotoka ngazi za juu kuhusa pamba ikiwa ni pamoja na kuandaa mashamba darasa kwa ajili ya kuwafundisha wananchi juu ya kilimo bora cha pamba


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Ndg. Afraha N Hassan amewataka Maafisa kilimo wote wilayani kuhakikisha wanatimiza lengo la kupewa pikipiki kuzungukia wananchi katika mashamba yao pamoja na kutoa elimu kwa wakulima hao na si vinginevyo.

Ziara ya Balozi wa pamba Mhe. Aggrey Mwanri wilayani Serengeti ni muendelezo wa ziara yake nchi kuzungukia mikoa yote inayolima pamba ambapo katika Wilaya ya Serengeti  zaidi ya kata sita na vijiji 14 vimetembelewa na kupewa semina juu ya kilimo bora cha pamba kwa zaidi ya wananchi wananchi 1071.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI July 01, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI. June 11, 2025
  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI KWA WAENDESHA BVR NA WAANDISHI MSAIDIZI April 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU. March 07, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AMTAKA MKANDARASI KUONGEZA NGUVU YA UTEKEKEZAJI WA MRADI WA MAJI SERENGETI.

    September 13, 2025
  • RC MTAMBI, AWAKARIBISHA WANANCHI KWENYE MAADHIMISHO YA MARA DAY.

    September 11, 2025
  • SEMINA YA SIKU TATU KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA JIMBO LA SERENGETI YAHITIMISHWA RASMI.

    August 06, 2025
  • BARAZA LA MAMLAKA YA MJI MDOGO SERENGETI LAZINDULIWA LEO.

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

AKINA MAMA SERENGETI WASEMA ASANTE MAMA SAMIA.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti