• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

MADIWANI WAIOMBA TANAPA KUGUSA KATA ZOTE SERENGETI KIUWEKEZAJI

Imewekwa: March 2nd, 2023

MADIWANI wa halmashauri ya Serengeti wameiomba TANAPA kufanya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika halmashauri ya wilaya ya Serengeti badala ya kufanya maeneo ya vijiji vilivyopo kando ya hifadhi pekee.

Diwani wa kata ya Rigw'ani Helena amesema katika kata yake ndio njia ya wanyapori lakini hakuna miradi hata mmoja ambao umetekelezwa na TANAPA ambao ukimfuata jangili na kuweza kumueleza na akaelezea na kuacha .

Alisema hapo awali katika hifadhi ya TANAPA kulikuwa na miradi ya ujirani mwema iliyokuwa ikisaidia kutekeleza miradi ya maendeleo kwenye halmashauri hiyo lakini kwa sasa imesitishwa bila kushirikishwa.

"Tutaweza je kuwakemea hawa majangili kuja kufanya ujangili wakati hakuna faida wanayoipata kutokana na hifadhi hii"alisema diwani wa kata ya uwanja wa Ndege.

Nae Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Ayub Makuruma amewataka TANAPA wawe na mipango mkakati wa kuwanufaisha wananchi wa Serengeti waweze kunufaika hifadhi ya Serengeti .

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2023 December 13, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA YA UELIMISHAJI RIKA JUU YA VVU NA UKIMWI November 11, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 28, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 04, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WAIOMBA TANAPA KUGUSA KATA ZOTE SERENGETI KIUWEKEZAJI

    March 02, 2023
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI 2023

    February 28, 2023
  • ZAIDI YA BILIONI 14.268 KUTUMIKA KUTENGENEZA BARABARA SERENGETI

    March 02, 2023
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI, NA MIPANGO IMETEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA SEKONDARI NYICHOKA

    February 18, 2023
  • Angalia zote

Video

DKT.MASHINJI ASITISH A SHUGHULIZA UCHIMBAJI KOKOTO KUFUATIA KIFO CHA MCHIMBAJI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti