MAADHIMISHO YA WIKI YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI
Kila ifikapo September 28,ya kila mwaka dunia Hudhimisha siku ya Kichwa cha mbwa (Rabies),Kwa ajili ya kujikumbusha ,kuelimisha na kuchukua
tahadhari Juu ya ugonjwa huu.Wiki ya Kichaa cha mbwa duniani ni kuanzia tarehe 26 septemba mpaka tarehe 02 octoba 2020.
Ambapo kauli mbiu ya mwaka ni''afya moja,vifo sifuri''.Kichaa cha Mbwa kinaua,unaweza kuzuia ugonjwa huu hatari kwa kuchanja Mbwa na Paka ili uweze
kujikinga wewe na wanakuzunguka.
Mara zote usiwe katika mazingira hatarishi ya kung'atwa na mbwa pata huduma ya kwanza ikitokea umedhuriwa na mbwa na kisha nenda kwenye kituo cha afya kupata huduma zaidi.
Imetolewa na kitengo cha mawasiliano serikalini
wilaya ya Serengeti.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti