• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

KAMATI YA FEDHA, UONGOZI, NA MIPANGO IMETEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA SEKONDARI MAKUNDUSI

Imewekwa: February 19th, 2023


Kamati ya Fedha,Uongozi,na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti 

Mhe.Ayub Mwita Makuruma  wametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa vyumba  3 vya madarasa yaliyojengwa kwa  Fedha kutoka Serikali kuu Tsh Milioni sitini (60,000,000/=). Mradi  Huu umekamilika  kwa 100%  ikiwa pamoja na samani zake ambazo ni  meza 120 na viti  122. Wanafunzi wa kidato cha kwa kwanza 2023 wamefika na kuanza  masoma yao.

Mhe Makuruma ameupongeza uongozi wa kata na shule kwa kusimamia kikamilifu  ujenzi wa madarasa haya na kuwataka kutunza madarasa hayo.

‘’ Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha hizi za mradi huu,na kuondoa changamoto za msongamano wa wanafunzi madarasan,natoa rai kwa uongozi wa kata na shule kulinda na kufanya ukarabati wa mara kwa mara ’’ 

Awali akisoma taarifa kwa kamati Mkuu wa shule ya sekondari Makundusi Mwl.Andrew C.Malela,amesema  Makundusi ni shule ya kutwa  na ya mchanganyiko ,yenye jumla ya wanafunzi  783 ambapo wavulana 347 na wasichana 436 na walimu wa ajira za kudumu serikalini 10 na waalimu wa kujitolea 06 .

Ameongeza pia, Shule hii ni miongoni mwa shule za Serikali ambazo zinafanya vizuri sana kitaaluma na utunzaji mazingira wilayani Serengeti na mkoani Mara kwa ujumla .Hii ni kutokana na ukweli kwamba shule hii imekuwa na ufaulu wa 100% katika matokeo yote ya mtihani wa kidato cha nne tangu kuanzishwa kwake mwaka 2018.Pia tumeanza mchakato wa kuanzisha kidato cha Tano na sita na tuna tarajia kuwa na mchepuo wa masomo ya sayansi.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2023 December 13, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA YA UELIMISHAJI RIKA JUU YA VVU NA UKIMWI November 11, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 28, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 04, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WAIOMBA TANAPA KUGUSA KATA ZOTE SERENGETI KIUWEKEZAJI

    March 02, 2023
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI 2023

    February 28, 2023
  • ZAIDI YA BILIONI 14.268 KUTUMIKA KUTENGENEZA BARABARA SERENGETI

    March 02, 2023
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI, NA MIPANGO IMETEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA SEKONDARI NYICHOKA

    February 18, 2023
  • Angalia zote

Video

DKT.MASHINJI ASITISH A SHUGHULIZA UCHIMBAJI KOKOTO KUFUATIA KIFO CHA MCHIMBAJI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti