Meneja wakituo cha Hope Nyumba salama kinachomilikiwa na Shirika la Hope for girls and Women in Tanzania Bw.Daniel Misoji amesema kwamba wamepokea wasichana watano waliofanyiwa ukatli wa kijinsia kwa kukeketwa hivi karibuni wakiwa wanatokea katika familia mbalimbali wilayani Serengeti.
.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti