Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Ndg. Afraha N. Hassan ameweka kambi katika mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari mpya na ya kisasa ya Chief Sarota iliyopo Kata ya Nagusi Serengeti Mkoani Mara ili kuongeza nguvu ya usimamiaji wa mradi katika kuhakikisha unakamilika kwa wakati na kwa ubora uliokusudiwa.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti