Mkuu mpya wa Wilaya ya Serengeti Mhe. Angelina Marco Lubela akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi, hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Uwekezaji, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara mapema leo Julai 3, 2025.
Uapisho huo umekuja kufuatia Mhe. Angelina kuteuliwa na Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Juni 23, 2025.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti