Katibu Tawala wa Wilaya ya Serengeti Bw. Milama Masiko mekabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Mhe. Angelina Marco Lubela ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti.
Akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi Bw. Masiko ametoa shukrani za dhati Kwa Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa imani yake kubwa na kumpa dhamana ya kuongoza Wilaya ya Serengeti kama Katibu Tawala huku akiomba ushirikiano baina ya watumishi wa Ofisi hiyo.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti