Madini
Wilaya inayo machimbo ya aina mbalimbali za madini hii ni pamoja na machimbo ya :-Chokaa katika kiji cha Nyigoti; Vigae katika kijiji chaMarasomoche Dhahabu katika vijiji vya; Nyigoti, Ring’wani, Borenga Majimoto Gesi ya katika kijiji cha; Majimoto ; Madini ya Gypsum na Red ochre katika kijiji cha Robanda .
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti