Kilimo
Kilimo huajiri (90%) ya watu wilayani Serengeti, wakati la mtu inakadiriwa kuwa Tshs. 1,031,000/= kwa mwaka ukilinganisha pato la mtu kitaifa ambalo ni Tshs. 869,436/= kwa mwaka
Jedwali 1. Utekelezaji wa malengo ya kilimo kwa misimu ya 2013/14 - 2015/2016
Zao |
Lengo (Ha) |
Utekelezaji(Ha) |
Ongezeko/ Pungufu(Ha) |
% |
Pamba
Alizeti Mahindi Ulezi Mhogo Viazi vitamu Mpunga Maharage Karanga Ufuta Mtama Tumbaku |
12600 919 25677 3053 36680 5417 2582 5365 618 279 26668 4500 |
4239 443 24796 1456 20995 6356 215 109 374 6 22958 1175.5 |
-8361 -476 -881 -1597 -15685 +939 -2367 -5256 -244 -273 -3710 -3324.5 |
34 48 96.5 48 57 117 8 2 60.5 2 86 26 |
|
124356 |
83122.5 |
|
49 |
Chanzo: Ofisi ya kilimo,Umwagiliaji na Ushirika Serengeti, 2016
Jedwali.2 : Uzalishaji (Tani)
Zao |
2013/2014 (Tani) |
2014/2015 (Tani) |
2015/2016 (Tani) |
Mahindi
Mtama Ulezi Mpunga Mhogo Viazi vitamu Maharage Karanga Pamba Tumbaku |
47,340 33,276 2,137 219 75,316 86,395 335.5 95 2,711 3,572 |
52,176 36,792 1,212 179 75,968 94,695 283 108 2,328 5,149 |
49,592 34,437 1,383 211 83,980 31,780 54.5 187 2,868 1,499 |
Chanzo: Kilimo ,Umwagiliaji na UshirikaSerengeti, 2016
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti