TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti imepokea kibali cha ajira,kwa nafasi za
1.Watendaji wa VIJIJI
2.Waandishi waendesha ofisi
3.Watunza kumbukumbu
4.Madereva
MWISHO wa Kutuma maombi ni tarehe 01.05.2023,Saa 09:30 Alasiri.
Tembelea Tovuti yetu kwa habari zaidi ᴡᴡᴡ.sᴇʀᴇɴɢᴇᴛɪᴅᴄ.ɢᴏ.ᴛᴢ
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SERENGETI.pdf
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti