Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti anapenda kuwataarifu waombaji wa Kazi wote Walioomba kazi ya Mtendaji wa Kijiji III,Mtunza kumbukumbu Daraja la II,Katibu Mahsusi Daraja la III Na Madereva Daraja la III,Nafasi zilizotangazwa kupitia Tangazo la Tarehe 24.mei.2022 kuwa usaili unatarajia kufanyika kuanzia tarehe 11.07.2022 hadi 14.07.2022
Fungua kiambatanisho Cha Majina
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti