Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti ni moja kati ya Halmashauri tisa (09) za Mkoa wa Mara. Halmashauri inafanya kazi na wadau mbalimbali wa maendeleo, moja wapo ni shirika lisilo la Kiserikali la AMREF ambalo linajishughulisha na utekelezaji wa afua za UKIMWI kwa mkataba wa mwaka mmoja kuanzia 1 Oktoba 2022 hadi 29 Septemba 2023. Halmashauri ya wilaya ya Serengeti kwa kushirikiana na mdau wa AMREF, inatangaza ajira ya mkataba kwa nafasi Mbalimbali Fungua kiunganishi
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti