• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WILAYA YA SERENGETI YAPATA MWENYEKITI MPYA WA HALMSAHURI

Imewekwa: December 11th, 2020

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti limemchagua Diwani wa Kata ya Busawe, Mhe. Ayubu Mwita  Makuruma kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia 2020 hadi 2025.

Uchaguzi  huo wa Mwenyekiti umefanyika Desemba 11, 2020 kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kwa kupiga kura za ndiyo au Hapana ambapo amepata kura zote 41 za ndiyo za Madiwani wateule 40 na  ya Mbunge wa Jimbo la Serengeti

Akizungumza baada ya kuchaguliwa na kuunda kamati za madiwani, Mhe. Ayubu Mwita  Makuruma (Mwenyekiti wa Halmashauri) amewashukuru madiwani kwa ushindi huo na kuwaahidi ushirikiano wa hali ya juu katika kushughulikia maendeleo ya wana-Serengeti.

“Nawaomba madiwani wenzangu tufanye kazi kwa bidii ili kuleta maendeleo kwa wananchi wetu wa Serengeti. Ninawaahidi kuwapa ushirikiano wa juu ili kuhakikisha Serengeti inapata maendeleo”

Makuruma ametumia nafasi hiyo pia kuwataka madiwani wote kushirikiana kwa karibu na viongozi wengine wakiwemo Mkuu wa Wilaya, Mbunge na Mkurugenzi wa Halmashauri katika kuwaondolea wananchi vikwazo vya maendeleo  kwa kuimarisha miundo mbinu kama barabara, ujenzi wa vyumba vya madarasa na vituo vya afya.


Katika zoezi hilo pia, Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri umefanyika ambapo diwani wa Kata ya Kisangura, Mhe. Samson Ryoba Wambura (anayeongea - habari katika picha hapo chini)  amechaguliwa kwa kupata kura zote 41 za ndiyo


 (Makamu Mwenyekiti  wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhe. Samson Ryoba Wambura (Anayeongea hapo juu katika picha)


Mbunge wa Serengeti, Amsabi Mrimi , alipopata nafasi ya kuzungumza amesisitiza vipaumbele vitano vya kusaidia kuinua maendeleo ya Wilaya ya Serengeti

Amevitaja vipaumbele hivyo kuwa ni elimu na afya, utawala bora, mazingira na utalii, Miundo mbinu na uchumi. Amesisitiza kwa kusema kuwa Wanaserengeti tukishirikiana kwa pamoja tunaweza kuiboresha Serengeti na kuifanya jinsi tunavyotaka sisi kwa kusimamia hivyo vipaumbele vitano.

     Mbunge wa Serengeti, Amsabi Mrimi (aliyesimama) akizungumza katika kikao hicho


Matangazo

  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 15, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 21, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI NA SHULE ZA SEKONDARI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021 SERENGETI. December 23, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHAGUO LA PILI SHULE ZOTE January 11, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mwenyekti wa Chama cha Mapinduzi Mhe Jacob Bega na Mwenyekti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Ayub Mwita Makuruma waendelea na ziara Kata ya Nyamoko na Kebanchabancha

    March 01, 2021
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Jacob Bega na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mheshimiwa Ayub Mwita Makuruma wafanya ziara ya kutembelea Kata kuhamasisha Maendeleo

    February 24, 2021
  • Wananchi Kata ya Kebancaha wajenga Sekondari Halamshauri ya Wilaya yapeleka Mbati 240,Mifuko ya Saruji 150 na Mbao 360 kuongeza nguvu

    February 20, 2021
  • Mshauri wa Tasaf Ndugu Sokoro Mnubi amekamirisha zoezi la uwasilishaji wa Fedha za Kaya Masikini Tarafa ya Ngoreme pamoja na Ikorongo 19/02/2021

    February 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Serengeti
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • GIZ

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti