• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Tasaf Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti yaanza rasmi awamu ya III ya uwasilishaji wa fedha za Kaya Masikini

Imewekwa: April 20th, 2021

Mratibu wa Tasaf Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Bi Antusa Swai  amewaomba Wanufaika wa Kaya Masikini kupitia Mradi wa Tasaf awamu ya III ambao umeanza 19/04/2021 kuzitumia fedha hizo katika kuanzisha miradi mbalimbali ikiwemo ya ufugaji pamoja na kilimo ameyasema haya baada ya kukutana na changamoto ya ulevi kwa wanufaika toka Kata ya  Morotonga Kitongoji cha Seronga ambacho kimepokea Tsh 2,888,000/=.

Mwenyekiti wa Kitongoji cha Seronga Bwana Buruna Nyawela Lucas amelaani vitendo hivyo kutoka kwa Wananchi wake ambao wanakuja kuchukua fedha hizo wakiwa wamelewa amesema kuwa atawasilisha malalamiko hayo kwenye vikao ili vya Serikali ya Kijiji ili wanufaika ambao wanatumia fedha hizo kwa masuala ya ulevi waondolewe kwenye mpango ili waingizwe wanufaika ambao wana uhitaji zaidi.


Zoezi hio lilimeendelea vizuri katika vitongoji vingine ndani ya Kata za Mamlaka Tarafa ya Rogoro ambapo Kitongoji cha Stand Mpya kimepokea Tsh 2,180,000/= kwa ajili ya wanufaika 42,Kitongoji cha NHC wamepokea Tsh 2,018,000/= kwa ajili ya Kaya 45 huku Kitongoji cha Sedeco wakipokea jumla ya Tsh  2,876,000/= kwa wanufaika 62.

Zoezi hilo la uwasilishaji wa fedha linaendelea mpaka 22/04/2021 katika Kata zingine zilizobaki ambapo walengwa wote ambao wako kwenye mpango watanufaika haya yamesemwa na Mkuu wa Msafara wa Timu ya uwasilishaji wa fedha hizo ambaye pia ni Mkaguzi wa Ndani wa Mahesabu Bwana James Tuniga.


Imeandaliwa

Emmanuel Isyaga Mwita

Afisa Habari -Mahusiano

Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

16/04/2021.

www.serengetidc.go.tz

instgram:serengeti_sdc_176

facebook:halmashauri ya wilaya ya serengeti

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI July 01, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI. June 11, 2025
  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI KWA WAENDESHA BVR NA WAANDISHI MSAIDIZI April 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU. March 07, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WADAU WA ZAO LA TUMBAKU WATAKIWA KUZINGATIA MIONGOZO YA KILIMO CHA ZAO LA TUMBAKU ILI KUPATA TIJA YA ZAO HILO.

    June 17, 2025
  • WANANCHI WA KIJIJI CHA PARK NYIGOTI SERENGETI WANUFAIKA NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUTOKA GRUMETI FUND.

    June 13, 2025
  • GRUMETI FUND YAENDELEA KUGUSA MAISHA YA VIJANA WA KIKE NA KIUME WILAYANI SERENGETI.

    June 04, 2025
  • SIKU YA MALARIA WILAYANI SERENGETI

    April 25, 2025
  • Angalia zote

Video

AKINA MAMA SERENGETI WASEMA ASANTE MAMA SAMIA.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti