• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

RUWASA YAFANYA MKUTANO WA PILI NA WADAU WA MAJI NA USAFI WA MZINGIRA

Imewekwa: August 24th, 2020

Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) imefanya mkutano mkuu wa nusu mwaka wa wadau wa maji  na usafi wa mazingira leeo tarehe 24.08.2020 katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti, ukiwa na lengo la kujadili wapi walipotoka, wapi walipo na wapi wanapokwenda.

Akifungua mkutano huo mkuu wa wilaya ya Serengeti Mhe. Nurdin Babu amesema anawapongeza Wizara ya Maji kupitia RUWASA ngazi ya mkoa na wilaya kwa kuweka utaaratibu wa kuwa na mkutano wa wadau wa maji.

“Ninapenda kuwapongeza Wizara ya Maji kupitia RUWASA ngazi ya Mkoa na Wilaya, kuweka utaratibu huu muhimu wa kuwa na vikao vya wadau wa maji. Kikao hiki cha pili ni muhimu na ndipo mahali ambapo sote tutajitathimini kuanzia tulipotoka, tupo wapi kwa wakati huu na tuanaendelea kwenye hatua ipi”  alisema Mh. Babu

Akiendelea kusema Mhe. Babu amaesema kuwa huduma ya maji ni suala la mtambuka kwa kuwa linagusa sekta zote kuanzia kwenye uhitaji, ujenzi, usimamizi na uendelevu wa huduma ya maji. Kwa hiyo kikao hiki cha wadau wa maji, pamoja na mambo mengine lengo lake kuu ni kutuwezesha tujadili kwa kina njia bora itakayowezesha kuimarisha huduma ya maji na kuimarisha usafi wa mazingira katika jamii zetu. Lengo kuwa na miradi endelevu.

Aidha Mhe. Babu amewataka kila mtu kuhakikisha kuwa anazitumia sheria na kuhakikisha kuwa anatambua wajibu na majukumu yake katika kusimamia miradi ya maji. Pia amewaagiza wote wanaosimamia miradi ambayo hadi sasa haijakamilika kuhakikisha inakamilika kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ukiwemo mradi wa maji wa kijiji cha Nyamitita

Naye Meneja wa RUWASA wilaya ya Serengeti Mhandisi Endrew Kisaro amesema kuwa, wakati RUWASA inaanzishwa upatikanaji wa maji katika wilaya hii ulikuwa sawa na asilimia 52 lakini kwa sasa upatikanaji wa maji umepanda hadi kufikia asilimia 59.56 na huku wakitarajia kuwa na upatikanaji wa wa maji kwa asilimia 78.25 hapo baadae

Katika mkutano huo kuliambatana na mada mbali mbali zikiwemo; maboresho ya uendeshaji na usimamizi wa shughuli za sekta ya maji nchi, sheria za maji, fedha za mradi wa maji, uhifadhi wa maji, usafi wa mazingira majumbani na mashuleni, uthibiti wa fedha za miradi na ukaguzi n.k

MATUKIO KATIKA PICHA

Matangazo

  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 15, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 21, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI NA SHULE ZA SEKONDARI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021 SERENGETI. December 23, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHAGUO LA PILI SHULE ZOTE January 11, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mwenyekti wa Chama cha Mapinduzi Mhe Jacob Bega na Mwenyekti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Ayub Mwita Makuruma waendelea na ziara Kata ya Nyamoko na Kebanchabancha

    March 01, 2021
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Jacob Bega na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mheshimiwa Ayub Mwita Makuruma wafanya ziara ya kutembelea Kata kuhamasisha Maendeleo

    February 24, 2021
  • Wananchi Kata ya Kebancaha wajenga Sekondari Halamshauri ya Wilaya yapeleka Mbati 240,Mifuko ya Saruji 150 na Mbao 360 kuongeza nguvu

    February 20, 2021
  • Mshauri wa Tasaf Ndugu Sokoro Mnubi amekamirisha zoezi la uwasilishaji wa Fedha za Kaya Masikini Tarafa ya Ngoreme pamoja na Ikorongo 19/02/2021

    February 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Serengeti
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • GIZ

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti